“SEHEMU YA IZIWA”

KUHUSU SISI
Pentecostal Holiness Mission
Pentecostal Holiness Mission ni kanisa ambalo linaloongozwa katika misingi ya
Kipentekoste linaloamini juu ya ubatizo wa maji mengi, wokovu kwa wanadamu wote
unaopatikana kwa kumwamini Yesu Kristo mwana wa Mungu. Na pia tunaamini juu ya nguvu
za Roho Mtakatifu zilizotumwa kwa kila aaminiye katika ulimwengu wetu wa sasa.
No comments:
Post a Comment